Magoli ya Eden Hazard ya dakika ya 10 na 35 yazidi kuiweka chelsea kileleni ikishinda nyumbani zidi ya mancherster city 2-1, huku Aguero akifunga bao pekee la mancherster city dakika ya 26. ushindi huu unaiweka chelsea kileleni point 7 juu ya tottenham walioko nafasi ya pili kwenye ligi hiyo.mechi nyingine,HULL CITY 4 - 2 MIDDLESBROUGH,SWANSEA CITY 1 - 3 TOTTENHAM
HOTSPUR,SOUTHAMPTON 3 - 1 CRYSTAL PALACE,LIVERPOOL 2 - 2 AFC BOURNEMOUTH.ARSENAL 3 - 0 WEST HAM UNITED.ligi itaendelea wikendi hii.
No comments:
Post a Comment