Mbunge wa kigoma mjini Mh Zitto Kabwe ameandika haya kwenye mtandao wa twitter kuhusu kuondolewa uwaziri kwa Nape,
"Nimezungumza na mbunge wa Mchinga @Nnauye_Nape na kuthibitisha kuwa Ni Kweli ameondolewa kwenye Uwaziri. Nape ni Shujaa wa kizazi chetu"
Vilevile naye Mbunge wa nzega akalizungumzia swala hilo kupitia ukurasa wake wa instagram,kaandika yafatayo;
"You will never walk alone, I know you, we know you, Justice will prevail no matter how long it will take. Karibu back bench tutumikie Taifa letu, Majimbo yetu na Chama chetu usivunjike moyo. It's just beginning of a New journey"
No comments:
Post a Comment