Tuesday, 21 March 2017

NAPE AENDELEA KUWAHASA WADAU KUVUTA SUBIRA SWALA LA CLOUDS MEDIA

Waziri wa Habari, Nape Nnauye amesema Kamati iliyoundwa kuchunguza Sakata la Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda kuvamia Studio za Clouds Media inamalizia Ripoti yake na muda wowote itawekwa wazi.


Awaomba wadau wanaompigia simu kuulizia wavute subira mpaka pale atakapokabidhiwa rasmi ripoti hiyo.

No comments:

Post a Comment