Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kuwa Hospitali ya Apollo India huenda ikasitisha kupokea wagonjwa kutoka nchini kutokana na deni kubwa inayodai.
Ameyasema hayo leo wakati alipokuwa akizindua bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Tiba ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI). Waziri Ummy amesema Apollo inadai Tanzania kiasi cha shilingi Bilioni 30 na kwamba wameshaanza kulipa deni hilo
No comments:
Post a Comment